Mwanaume mwenye swag! Ommy Dimpoz aonyesha ustadi wake

Mwanaume anayevaa kistadi huwafanya wengi ,si mabinti na hata maghulamu wenzake kuvunja shingo.

Mwanamziki wa Tanzania Ommy Dimpoz ana jicho kali sana la kuchagua au kukagua mavazi freshi, iwe suti ama ata nguo za michezo.

https://www.instagram.com/p/B4J6Li8g9gD/

Afya ya Dimpoz haijakuwa nzuri sana kutoka mwaka jana na hata ilifika wakati ambao Gavana Hassan Joho alimsadia kihela ili aweze kufanyiwa upaswaji mara kadhaa.

Jamaa huyu anapovaa suti, yeye huhakikisha kuwa viatu vyake na hata mapambo anayovaa yameendana na nguo aliyovaa vizuri sana.

Tazama picha ! Ninaamini utasadiki kuwa mwanamziki huyu ana mtindo mufti sana.