Shughuli ya Twa Twa yakatishwa na uhaba wa vyumba vya kukodi

Screenshot_from_2019_12_10_11_47_55__1575967802_22299
Screenshot_from_2019_12_10_11_47_55__1575967802_22299
"Sasa umeniudhi kabisa, nataka kukuambia wewe hujui kupanga mipango hadi ikaiva," huo ndio ulikuwa usemi wa mwanadada mmoja baada ya tendo la Twa twa kukosa kufanyika.

Duru zipo kuwa kujaa kwa vyumba vya kukodisha mji wa Nakuru vimefanya jombi kulaumiwa na mwanadada.

Wawili hawa walikuwa wamekutana ili kujipa raha.

 Katika kile kinachotajwa katika hadaa hadaa za siku nyingi, mwanadada alikuwa ashanaswa na chambo za maneno matamu ya mwanaume huyu.

Baada ya wawili hawa kukubaliana, siku ya kukutana ilipangwa mji wa Nakuru.

Msimu huu wa sherehe umesheheni sana burudani na mara kwa mara vyumba hujaa kwa sababu ya wingi wa wateja.

Baada ya muda mwingi wa kujibizana, ilibidi wakatishe shughuli hii kwa misingi ya uhaba wa vyumba.

Je, ingekuwa wewe ungefanya uamuzi gani?