Picha ya siku: Uliza kiatu! Marie-Rose avalia viatu vya babake

marie
marie
Mwanawe mtangazaji wa Radio Jambo, Gidi Gidi, Marie-Rose Ogidi aliwafurahisha wengi alipopigwa picha akiwa amevalia viatu pana mno vya babake.

Picha hiyo ambayo ilichapishwa katika mtandao wake wa Insta, ulivutia mashabaki zaidi ya mia tano wallioipenda picha ile.

Gidi ambaye amekuwa likizoni nchini ufaransa ambapo alisherehekea krismasi na familia yake aliandika,

Wuololo are those my shoes??....Can some modeling agency just come pick this girl 🤣