'Mwanangu aliwasili mapema kinyume na matarajio!' Kambua afichua

kambua (1)
kambua (1)
Kwa kina dada waja wazito, ni jambo la kawaida kwa jamaa na marafiki wao kuwaandalia karamu wiki au siku chache kabla wajifungue. Karamu yenyewe inajulikana kama 'Baby Shower'

Hata hivyo, kulingana na msanii na mtangazaji, Kambua, hilo halikufanyika kwani mwanawe aliwasili mapema kinyume na matarajio yake.

Kambua alimkaribisha mwanawe wa kwanza kwa jina Nathaniel Muhoro mwishoni mwa mwaka uliopita baada ya miaka saba katika ndoa.

Wikendi iliyopita, jamaa na marafiki zake walimuandalia karamu ya kukata na shoka ili kusherehekea kuzaliwa kwa mwanawe. Kupitia mtandao wake wa Instagram, Kambua alifichua mbona hakuwa na karamu na baby shower.
Alisema,
THIS PAST WEEKEND MY FAMILY CAME TOGETHER AND PUT UP A MOST PRECIOUS CELEBRATION FOR MY LITTLE BUB, NATHANIEL MUHORO. LAST YEAR A BABY SHOWER WAS PLANNED AND IT BACKFIRED 🤭 BECAUSE BABY DECIDED TO COME EARLY! I’LL TALK MORE ABOUT THIS SOMEDAY. I’VE LEARNED TO UNPACK ALL MY EXPERIENCES SLOWLY. HE CAME EARLY, BUT STILL RIGHT ON TIME. I AM ETERNALLY GRATEFUL FOR A HEALTHY BABY. GOD’S WAYS ARE PERFECT, AND THEY ARE GOOD.

https://www.instagram.com/p/B75IoRjAM8d/