“We hope this one lasts,”Mashabiki wamwambia Lilian Muli baada ya picha akimpa busu mpenziwe

Mwanahabari wa runinga ya Citizen amekejeliwa na mashabiki wake baada ya kuweka picha akimbusu mwanaume anayeaminika ni mpenzi wake.

Aliweka picha hiyo katika ukurasa wake wa mitandao yake ya kijamii na  kuandika maelezo mafupi "For always. alizidi na kusema "Lol. Nobody can stop reggae! Sometimes it’s easier to be nice. Kill them with kindness.

Kama kawaida mashabiki wake hawangeacha makubwa hayo yapite, hii ni kwa sababu Lilian Muli hapo awali mahusiano yake yalikuwa yanajulikana na watu na mashabiki kwa sana.

Lilian alikua ameolewa na Moses Kanene kisha walipopeana talaka akawa katika mahusiano na Jared Nevaton Ombongi.

Lakini mwanaume huyo awe na mahusiano na Lilian ama kwa hakika amekua na yeye mashabiki wake hawajaelewa na bado wanangoja kumjua ni nani.

Baadhi ya jumbe za mashabiki ni kama haya hapa,

am_ellie_

Y’all ain’t holding one another

njokiwaigwa

Hand and body specialists…. Already on the job… They are gonna be telling us who that is… Soon… Lol😂😂

missywinny

I always see you as a work woman, but you have this side too😍😍😍so sweet❤️❤️❤️

irenekipchilat Mwanaume gani huyo anakula lipstick😂😂

carolsaddam

I hope this one lasts😊

ketibastevenson

He is a man and half, I know him in person, a cool guy

jane_the_travel_addict

Hawa wanaume wanabadilishwa kama nguo wako wapi pia tutumie tukitupa

victhe_1

Relationship hukuja na camera man 😂