‘My brain refuses to accept,'Mkewe Kobi aandika ujumbe wa huzuni

Mjane wa gwiji wa mchezo wa vikapu marehemu Kobe Bryant  ,Vanessa Kobi , aliandika ujumbe wa huzuni katika   mtandao wake wa kijamii na kutamani kuwa kifo cha mwanawe Gigi na mumewe Bryant Kobe kingemtoka akilini lakini imekuwa vigumu sana kwake.

Kupitia mtandao wake wa kijamii wa instagram aliandika ujumbe ufuatao;

"I’ve been reluctant to put my feelings into words. My brain refuses to accept that both Kobe and Gigi are gone. I can’t process both at the same time. It’s like I’m trying to process Kobe being gone but my body refuses to accept my Gigi will never come back to me.

It feels wrong. Why should I be able to wake up another day when my baby girl isn’t being able to have that opportunity?! I’m so mad. She had so much life to live. Then I realize I need to be strong and be here for my 3 daughters. Mad I’m not with Kobe and Gigi but thankful I’m here with Natalia, Bianka and Capri." Aliandika Vanessa.

Vanessa alisema madhumuni yake ya kuandika ujumbe huo ilikuwa ni kuwahimiza wanawake ambao huenda wanapitia katika hali sawia baaada ya kuwapoteza waume wao.

"I know what I’m feeling is normal. It’s part of the grieving process. I just wanted to share in case there’s anyone out there that’s experienced a loss like this. God, I wish they were here and this nightmare would be over. Praying for all of the victims of this horrible tragedy. Please continue to pray for all." Aliongeza.

Kobe  na mwanawe gigi waliaga dunia kwa ajali ya helkopta na wengine saba Januari 26/2020, Kobe alizaliwa mwaka wa 1978.

Wawili hao walikaa kwa ndoa kwa miaka ishirini.