Raila, Gidi na ma celeb walio na uhusiano mwema na wanao wa kike

Ifikapo kwa uzazi, sio kila mtu ana uwezo wa kuwapenda na kuwatimikia wanawe bila ya kujali hali au mali.

Kabla ya kifo chake, gwiji wa mpira wa vikapu, Kobe Bryant alisifiwa sana kwa uhusiano wake mwema na mwanawe wa kike, Gigi Bryant. Gigi alikuwa akijulikana kama "Daddy's girl"

Aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga, pia anajulikana kwa uhusiano wake na wanawe wawili wa kike Winnie Odinga na Rosemary Odinga. Mara nyingi, Raila huonekana na mmoja wa wanawe wa kike katika mikutano ya humu nchini na ya kimataifa.

Mtangazaji wet, Gidi ni baba wa mtoto mmoja wa kike, Marie-Rose Hera Ogidi na upendo wao hauwezi pimika.

Leo tunaangazia  ma celeb ambao wanajulikana kwa uhusiano wao mwema na wanao wa kike;

Marehemu Kobe Bryant na Gigi Bryant

Raila Odinga (Winnie na Rosemary)

Gidi na Marie-Rose

Jay Z na Blue Ivy

Gideon Moi na Lulu

Barack Obama na Sasha na Malia