'To my love,’ Mkewe rubani Daudi Kibati amuomboleza kwa ujumbe wa Huzuni

Mkewe mwendazake rubani Daudi Kibati Kimuyu alimuomboleza mume wake kwa ujumbe wa mapenzi na wa kuhuzunisha.

Daudi alikuwa rubani ambaye alisafirisha  Wakenya Kutoka New york hadi humu nchini huku  akiwaokoa wengi  dhidi ya kusalia huko na kuepuka uwezekano wa kuambukizwa virusi vya corona.

Daudi aliaga dunia kwa ajili ya virusi vya corona, huku akipumzishwa nyumbani kwake katika kaunti ya Kitui siku ya Jumamosi

Mkewe Jane Mwende aliandika ujumbe wa maombolezi akisema ;

"I FIRST MET YOU, MAJOR KIBATI WHEN YOU CAME TO OUR HOME WITH YOUR FRIENDS TO LOOK FOR ME." Aliandika Jane.

Hayo mengine ni historia

"MAJOR KIBATI, YOU WERE SO PROTECTIVE OF YOUR FAMILY AND EVERYONE AROUND YOU.

YOU LOVED OUR KIDS SO MUCH AND I SHALL CONTINUE EMULATING YOU AND I SHALL NOT LET YOU DOWN THROUGH GOD’S GRACE AND GUIDANCE." Alisema.

Naomba Mola anipe ujasiri na werevu,

"YOU TOLD ME THAT THE WORLD WAS MINE TO EXPLORE AND I DID NOT NEED TO CONSULT YOU.

"YOU GAVE ME THE FREEDOM TO DO WHATEVER I WANTED AS LONG AS IT MET THE MINIMUM EXPECTATIONS.

Alisema kuwa atampeza sana mume wake na kwa hakika alikuwa rafiki wake na alikuwa na muita,

“’INYAA KOVUVUU, ULA WI NDALANI YAKWA NUU?’ THEN I COULD ANSWER, ‘ULA UNGI NUU, ATEOINYE?"Aliema.

Jane pia aliongeza na kusema uwa Daudi aliwalipia likizo hata wakati walikuwa wameshikana sana.

"YOU SACRIFICED AND SPOILED US SO MUCH AND WE WERE ALWAYS AND SHALL FOREVER BE GRATEFUL. YOU ALWAYS WANTED THE VERY BEST OF ME AND OUR FAMILY
WE SHALL ALWAYS CHERISH EVERY MOMENT WE WERE WITH YOU BECAUSE YOU WERE OUR FATHER.SLEEP WELL." Alizungumza.

Nasi kutoka kwetu wanajambo tunamtakia Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi