‘Wasimamizi wa vyama vya wasanii nchini hutumia hulipa malipo duni -Willy Paul asema

Baada ya msanii Willy Paul kumwandikia barua Uhuru Kenyatta ili awakumbuke wasanii wa humu nchini na rais kufanya hivyo alipokuwa anahutubia nchi sasa anamlilia na kumwambia kuwa amewapea watu pesa hizo ambao wanawalipa malipo duni..

Wengi walifurahi baada ya Kenyatta kusema kuwa ametenga millioni 200 kwa ajili ya wanamuziki wa Kenya wakati huu wa janga la corona.

Kupiti mtandao wa kijamiii wa instagram Willy alimshukuru Rais kwa kusoma ujumbe wake .

"I SAID IT HERE, THANK YOU MR PRESIDENT FOR READING MY LETTER AND RESPONDING WITHIN SUCH A SHORT NOTICE..

FORTUNATELY OR UNFORTUNATELY, YOU’VE JUST DIRECTED THE MONEY TO THE SAME PEOPLE THAT’ HAVE BEEN PAYING US PEANUTS." Willy Paul Aliandika.

"WHAT WE WANT NOW IS TRANSPARENCY, THEY SHOULD TELL US HOW THEY INTEND TO DISTRIBUTE THE MONEY…

WHAT SYSTEM ARE THESE BOARDS USING TO PAY US?? THEY SHOULD KNOW THAT WE HAVE OUR EYES ON THEM." Alisema.

Hakukimya wala kunyamaza alizidi na kuzungumza,

"AND THIS TIME TUTAKUA NAO KWA HIO MEZA TUKIFANYA MAAMUZI PAMOJA.

MY FELLOW ARTIST, ACTORS, PRESENTERS, COMEDIANS, PRODUCERS, DJS… LEARN TO SPEAK UP PLEASE.

MTAKUFA NJAA JUU YA UWOGA AMA KUJIPENDEKEZA.. ONE MORE THING, LET’S UNITE. REMEMBER WITH UNITY WE ARE UNBREAKABLE AND EVEN STRONGER ….

A BIG THANK YOU TO ALL OUR SUPPORTERS ( WANANCHI ) IT’S BECAUSE OF YOU NDIO TUKO HAPA. MAY GOD PROTECT ALL OF US AGAINST  ."

Je nani atakaye tumia pesa hizo inavyostahili?