Mke wa gavana wa Nairobi Mike Sonko ametumia instagram kuwakaribisha mashabiki wake katika jumba lake la kifahari. Iwapo ulitaka motisha ya kuweza kuafikia maisha mazuri basi ziara hiyo ya mke wa gavana itakupa msukumo unaohitaji .
https://www.instagram.com/p/B-rdJUEhWm7/
Katika video hiyo, 'first lady' huyo wa kaunti pia alimuonyesha mtoto wake aliyeweza kumchukua kwa utunzi Satrin Osinya, na kumpa Satrin nafasi ya kutoa ujumbe wa kuwahamasisha watu kuhusu hatari ya virusi vya Corona
https://www.instagram.com/p/B14bb7Hlx2m/
Kila kilichomo katika kasri la Sonko kina gharama ya kuvunja mguu ,huwezi kukosa kuzioana runinga kubwa kubwa zilizotundikwa ukutani .