‘Nilipe 3k kuona plastic?’ Wakenya wamkejeli Vera Sidika kwa kuuza picha na video

Mwanasosholaiti Vera Sidika amekuwa mashuhuri kwa muda mfupi, kupitia mtandao wa kijamii kuna mahali anapaswa kuposti video na picha kwa mashabiki wake lakini kabla uone picha zake au video lazima ujisajili na shillingi elfu tatu.
"FOR THESE EXCLUSIVE PICS AND TWERK VIDEOS SUBSCRIBE TO MY ONLY FANS." Vera Aliandika.

Vera alijiunga na mtandao huo miezi kadhaa baada ya mwanasosholaiti Huddah Monroe kujiunga kisha kufichua kuwa anapata pesa kupitia mtandao huo.

Ili kuona picha na video za Huddah unapaswa kujisajili na shillingi elfu mbili ila mashabiki walitoa maoni kuhusu usajili wa Vera na haya hapa maoni yao.

hillary_koros Heri hiyo 3k nlipie WiFi and the rest will be history

6pq.xd Ati $30?? USD??😂😂anakuanga ameji-overate😂😂inafaa kua ksh30

Robert Ouko Mimi bado nangojea apunguze hadi Ksh.30/- nikope fuliza nione vitu za plastic zinakaaje

Gideon Gichuhi 3k yet she can’t twerk? She has posted everything online. What’s there left to see? Upus!

Carolynn Kelly Hio haga inakuanga ngumu kutingika pale sincity🤣🤣🤣🤣sasa mtawaste tu dooh kusubscribe..haisongangi

amchasshy_ Nonsense…. She tried to copy xtaindela’s show it backfired like sh*t…. Now she is copying huddah🤦🤦🤦verah should get a hobby…. Anyway nani atalipa 3gs kuona matako ni kama hatuna zetu….. Shikwekwe anascoop low hii corona time.

_mahora Heri nione Plastic paper bags kuliko kuona mawe mbili za plastic zikisonga😂.$30 Dollars😱😱 aje sasa ata Huddah mwenyewe halipishi iyo design

feiso_ Heri niieke vikombe plastic kwa meza nizitingize nifurahi

brenda_larsson $30 kuona plastic? Asking for my neighbor and before attacking me jiulize kama mimi ni wa kwenu