Anyango hadi Nyambura: Je unafahamu maana ya jina lako!

Screenshot_20200506-090046
Screenshot_20200506-090046

Hivi majuzi, msanii wa nyimbo za injili, Kambua, kupitia mtandao wake wa kijamii alifichua kuwa jina lake la pili lamaanisha 'Mtoto aliyezaliwa wakati wa msimu wa mvua. '

Aliandika;

Kambua means 'Of the rain'. I was named after my grandmother, and I also happen to have been born on a rainy November day.

Kambua pia aliwarai wafuasi wake waseme majina yao huku wakifichua maana ya majina hayo. 

Kwa hivyo, kama hukuwahi jua maana ya baadhi ya majina kadha wa kadha ya wakenya, pitia orodha ifuatayo,

J_Laigong: I was born at night

Muthoni Mukiri: Muthoni - Shy one

Muthoni Makena: Makena means joyous and happiness, Muthoni means in laws and Nyakio means a hard worker. So am a joyous happy hardworking person

Kanini Edith: 'Mumbua' meaning born during rainy season so am called (sic) after my susu

Mess mwende: Mwende means beloved

Rosyn1: Ng'endo meaning journey

Anne nymoh: Anne means Grace

Nabalayo: 'Nabalayo' means born during the planting season of njahi or chimbalayo in luhya

Pauline Anne: Anyango means 'born in mid morning just before the hot sun'

Kendi6722: Kendi means loved one..was named after my aunt who was the only girl and was loved as the only daughter

Mawia komu: Mawia - jobs, my mum worked till the last day.

Diana Kithinji: Nkatha meaning one to be praised

Esytwts:Esther meaning a star or a persian queen

Faith Tanuey: Chebet born during the day. Specifically at mid day

Nyamms Kings:Nyambura meaning rain