Mzozo wa shamba,jamaa amuuwa mamake kutokana na ugomvi wa shamba

rype0qxc0ybuzkn9b5ed20e8d22012
rype0qxc0ybuzkn9b5ed20e8d22012
Edwin Losepesh kutoka kijiji cha Lokuto kaunti ya Samburu aliamua kumpiga mamake mzazi wa miaka 82 hadi baada ya kupinga hatua ya kijana huyo kutaka kuuza kipande cha ardhi.

Kulingana na mjukuu wa mwendazake Edwin alitekeleza uovu huo kuanzia mida ya saa 5 asubuhi .

“We were in a separate house where we heard the suspect quarrelling grandmother as jerricans fell down all neighbours heard the noise but nobody believed he could kill grandmother,” alisema Mjukuu huyo.

Jamaa wa karibu wa mwendazake wamesema mwathiriwa alifariki akiwa njiani kupelekwa hospitalini kutokana na majeraha mabaya aliyokuwa amepata baada ya kutendewa unyama huo.

Nyumba Kumi mkuu wa nyumba kumi Sasan Lenakinong’iro mshukiwa alikuwa amelewa jambo ambalo lilimfanya kuangamiza uhai wa mamake mzazi.

Ameongezea kuwa baada ya mshukiwa huyo kutekeleza unyama huo ,aliamua kutoweka.

“We are asking the government to take immediate action and ensure that he is arrested and charged in court.” alisema .

Maafisa wa polisi wakongozwa na kamanda mkuu wa Maralal wamedhibitish akisa hicho na kuuchukuwa mwili wa mwendazake ambao ulipelekwa katika chumba cha kuhifadhi maiti cha hospitali kuuu ya Maralal.

Uchunguzi wa kubaini alikotorekea jamaa huyo umeanzishwa.