Alibeba kila kitu kwa nyumba baada ya kupoteza kazi na baba yangu,'Mwanamume asimulia masaibu ya mkewe

Baada ya mwanaume kupoteza kazi na kukumbwa na shida nyingi si wote ambao wanaweza kuvumilia shida na taabu watakazokuwa wanapitia haswa kwa wanawake kama hakuwa ameoana na mwanaume huyo kwa ajili ya mapenzi bali kwa ajili ya pesa zake.

Kupitia kwenye mitandao ya kijamii ya twitter, mwanamume mmoja anayefahamika kama Andiwo amesifiwa na wengi baada ya kueleza alichokipitia wakati huu mgumu.

Andiwo alifichua jinsi mkewe alibeba kila kitu kwa nyumba baada ya kupoteza kazi yake na kusema kuwa aliumia sana lakini hakujua kuwa alikuwa amefunguliwa milango ya baraka.

"Hii picha ilichukulia miaka kadhaa iliyopita baada ya kutengana naye, alibeba kila kitu kwa nyumba, nilikuwa nimepoteza kazi yangu siku chache baada ya kumpoteza baba yangu na hata dada yangu mwaka huo huo.

Mwanangu angetoroka kuja kuniangalia vile naendelea, nilikuwa tu na kiti kimoja sasa imetimu miaka sita na Mungu amekuwa mwema kwangu." Alieleza Andiwo.

Alizidi na kunakili ujumbe wake.

"Napendelea kukaa mbali naye, imekuwa miaka sita na hatujakuwa tukiwasiliana."

Mwanawe Andiwo amekua, ni ujumbe ambao uliwapendeza wengi na hata kufanya watoe maoni mbalimbali, haya hapa maoni yao;

Willy Weyru I’m going through the same right now. Lucky I still have my job. All men in toxic marriages need to know that separating with your wife for the sake of your mental health is not WEAKNESS. It’s WISDOM

Baba Jabali Went through something similar… Wanawake ni shetani

Tweetsviewer the other gender is very wicked…ukisota kidogo unaachwa

Roy Odiambo God is able

Lazooj Boys will always want to be where their Dads are. She’s yet to regret but time will tell.

Khalid Omar I went through the same bro. I was left with 2 kids in a mud house known as simba right now I have a permanent house. Marrying has become a vocabulary to me. It has been a blessing from God.

Kangethe Njoroge A man who takes care of his kids after separation or divorce without being forced by authorities is a real Dad. His deeds shows who he is and was in the marriage

Asuma Enock Big up mate. That ninja defines the meaning of loyalty.

Ronald Dales God is great