Kama sijabusu kisima cha asali, hawezi kunipa haki yangu ya ndoa- Asema mwanamume

_utsWyKT (1)
_utsWyKT (1)
Nimeishi kama mkimbizi kwa nyumba yangu. Mke wangu ambaye tumeishi kwa ndoa miaka 23 sasa ameamua kuwa simba kwa nyumba, ameniwekea ratiba ama timetable ya namna tutakuwa tukishiriki ngono kwa nyumba yetu na masharti mengine mengi.  Ni simulizi za jamaa mmoja ambaye ameelezea madhila anayopitia mikononi mwa mke wake ambaye wamejaaliwa naye watoto 5 kufiki sasa.

Kulingana na jamaa huyu, mke wangu ameamua kuwa na tabia kama za simba na hata wakati mwingine humshurutisha kumpiga busu kisima chake cha asali ndiposa kuruhusu kuisoma katiba.

Anasema iwapo hawezi kutekeleza amri hiyo basi hakuna katiba anayoweza kupewa na mkewe.

Mke wangu amekuwa akinishinikiza mimi nipige busu Kisima chake cha asali kabla sijaanza kumlipua lungula, nimekuwa nikijaribu kumuuliza ni kwa nini ananishinikiza nifanye hivyo na tumekaa kwa ndoa miaka hiyo yote bila kuwa na tabia na masharti kama hayo. Amesimulia jamaa huyo.

Ameongezea kuwa tangu kuoana miaka hiyo yote wamekuwa wakilala kwa kitanda kimoja japo alishangaa alipoona mke wake amenunua kitanda kingine na kuleta ndani  ya chumba ambacho wanalala.

Kwa miaka hiyo yote mimi na mke wangu tumekuwa tukilala kwa kitanda kimoja lakini nilishangaa wakati ambapo nilipata mke wangu ameamua kununua kitanda kingine na kuweka katika chumba ambacho sisi tunalala. Nilipomuuliza aliniambia kuwa kitanda ambacho tumekuwa tukilala ni kidogo na hivyo aliona ni vyema anunue kingine. Swala hilo lilinikwaza roho saana. Amehoji jamaa huyo.

Ameongezea kuwa tangu kitanda hicho kiwekwe katika chumba ambacho wamekuwa wakilala pamoja na mkewe, hali imebadilika pakubwa. Anahoji kuwa masharti makali sasa yameongezwa na  mkewe ambaye anamtaka kila mara kumwandikia barua ya kutaka apewe haki yake ya ndoa.

Mke wangu sasa ameamrisha iwapo nitakuwa nataka haki yangu ya ndoa, niandike barua ya kuelezea ni kwa nini nastahili kupewa haki hiyo jambo hili limetokana baada tu ya kununua kitando hicho na kuleta ndani ya chumba chetu cha kulala, amesimulia jamaa huyo.

Kwa sasa, bingwa huyo ameanza kushuku iwapo kati ya watoto ambao wamebarikiwa kwa ndoa ni wake wote kutokana na tabia za kushtusha ambazo mkewe amekuwa akionyesha siku za hivi karibuni.