Toto limekua!, Kiuno kimekubalika, Tazama picha za Joy Muigizaji wa Machachari

87755572_202166924486808_5119748029537963204_n (1)
87755572_202166924486808_5119748029537963204_n (1)
Japo wengi wao waliamua kufunganya na kuanza kuangazia maswala mengine baada ya kukua kiumri, watu wengi walikuwa wanapenda kutazama kipindi cha Machachari ambacho kilikuwa kinaigizwa na watu kama Baha, Govi, Stella, Joy na wengine wengi.

Leo tunaangazia Joy Ohon ambaye alizaliwa katika familia ya watu maarufu nchini waliobarikiwa talanta ya kuigiza.

Kwa sasa Joy yuko na miaka 18.

Tazama namna alivyobadilika na umbo lake la kutoa akina yahe mate.