Wakenya wamkashifu vikali Boni Khalwale baada ya kusema kuwa BBI haiendi popote

Muhtasari
  • Wakenya wamshambulia aliyekuwa seneta wa Kakamega Bono Khalwale baada ya kusema BBI haiendi popote
khalwale
khalwale

Wakenya kwenye mitandao ya kijamii ya facebook wamemkashifu aliyekuwa seneta wa kaunti ya Kakamega Boni Khalwale baada ya kusema kwamba ripoti ya BBI haiendi popote.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa facebook alikuwa na haya ya kusema kuhusu BBI;

"Kwa hivyo ukusanyaji wa saini za BBI ya upuuzi unaanza kesho?BBI haiendi popote." Aliandika Khalwale.

Wakenya walijaza maoni na hisia zao kwenye ujumbe huo na hizi hapa baadhi za hisia za wakenya;

Sabulei Lulei: Why not collect signatures against the same!

Amadi Amadi: Says a Doktari who can't move around without a facilitation from Sugoi funds. You stopped going to Msambweni boss why?

Mutunga Kim: You started opposing it before it was launched watch the space

Charles Mc Agalo: And it will pass so long as you don't support it

Wanyama Wekulo Wanyama: Sit back relax & watch,if the kitchen is too hot,let the capable cook bwana

Okoth Calvince: I can see how threatened you and your team are.😂😂 The reggae is ooon!

Jason Misati: Some degrees must be revisited. Çhoosing a career but practising opposite óf it. Siasa is a tall order for you just go back to your profession of treating cows .