Wabunge kufanya kikao maalum kujadili Muswada wa BBI

Muhtasari
  • Wabunge kufanya kikao maalum kujadili Muswada wa BBI
  • Wabunge Jumatatu waliarifiwa juu ya vikao vilivyopangwa.Wabunge watajadili Muswada huo kupitia hatua zote
the star
the star

Bunge litafanya vikao maalum Jumatano na Alhamisi kujadili  Marekebisho ya Katiba ya Kenya, Muswada wa 2020.

Wabunge Jumatatu waliarifiwa juu ya vikao vilivyopangwa.Wabunge watajadili Muswada huo kupitia hatua zote.

Ktika kikao hicho walorodhesha pia kuzingatia marekebisho ya Seneti kwa Idara ya Mapato ya Muswada, 2021.

Bunge pia itazingatia ripoti ya Kamati ya Elimu juu ya uhakiki wa katibu Mkuu wa Maendeleo ya Mitaala na wateule wa TSC.

Wabunge pia watajadili ombi la Chama cha Wahariri wa Kenya kutaka kuondolewa kwa Tabitha Mutemi kama mwanachama wa Baraza la Habari la Kenya.