Tazama ratiba ya mahusiano ya Zari na Shakib

Mwanasosholaiti Zari Hassan na Shakib Cham wanaripotiwa kufunga ndoa kisirisiri wikendi.

Muhtasari

•Zari na Shakib walikutana mwaka wa 2019 kabla ya kujitosa kwenye mahusiano ya kimapenzi mwaka wa 2022.

•Wawili hao wanadaiwa kufunga pingu za maisha (Nikah) wikendi.

Ratiba ya mahusiano ya Zari na Shakib.
Image: WILLIAM WANYOIKE

Zari na Shakib walikutana mwaka wa 2019 kabla ya kujitosa kwenye mahusiano ya kimapenzi mwaka wa 2022.

Wawili hao wanadaiwa kufunga pingu za maisha (Nikah) wikendi.