Jinsi ya kuandaa 'Mursik'

Mursik ni maziwa ya mala iliyo chachu na ina jinsi maalum ya kuandaliwa.

Muhtasari

•Jamii ya wakalenjin   walianza utamaduni huu kuanzia wakati kabla ya ukoloni.Baada ya kuwekwa iwe chachu ,yanamwagiwa kwa kibuyu inayoitwa 'sotet'

Image: William Wanyoike