Wafahamu mastaa wa soka ambao wako huru baada ya mikataba yao kumalizika

Baadhi ya magwiji wa soka duniani wapo sokoni kwa sasa baada ya mikataba na vilabu vyao kuisha.

Muhtasari

•Mastaa wa PSG, Lionel Messi na Sergio Ramos ni miongoni mwa wanasoka gwiji ambao wamo sokoni baada ya kuishiwa na mikataba.

•Roberto Firmino na Alex-Oxlade Chamberlain wamethibitisha wanaondoka Liverpool baada ya mikataba ya kuisha.

Image: HILLARY BETT