Je, unajua Instagram ilikuwa inaitwa Burbn? Fahamu programu zilizobadili majina

Google kabla ya mwaka 1997 ilikuwa inaitwa Backrub huku Matchbox ikibadilisha jina na kuitwa Tinder, mtandao wa kuchumbiana mwaka 2012.

Muhtasari

• Mwaka 2021, Facebook ilibadilisha jina na kuitwa Meta.

Programu za mitandao iliyobadilisha majina.
Programu za mitandao iliyobadilisha majina.
Image: ROSA MUMANYI