Mataifa ya Afrika yaliyowahi kutawaliwa na baba na mwanawe kama marais

Kenya ni miongoni mwa mataifa hayo ambapo Jomo Kenyatta aliongoza kati ya mwaka 1963-78 kabla ya mwanawe Uhuru Kenyatta kushika hatamu kati ya mwaka 2013-22.

Muhtasari

• Hivi majuzi rais wa Gabon Ali Bongo alipinduliwa madarakani baada ya kumrithi babake kama rais mwaka 2009.

Mataifa yaliyotawaliwa na baba na mwana
Mataifa yaliyotawaliwa na baba na mwana