Mfahamu bingwa mpya wa mbio za Marathon, Kelvin Kiptum

Kiptum mwenye umri wa miaka 23 tayari ameshavunja rekodi ya mbio za marathon iliyokuwa inashikiliwa na mkongwe wa mbio hizo Eliud Kipchoge.

Muhtasari

• Kiptum alishiriki mashindano ya kwanza ya Marathon Desemba mwaka jana jijini Valencia Uhispania ambapo aliibuka mshindi.

Kelvin Kiptum.
Kelvin Kiptum.
Image: WILLIAM WANYOIKE