Mashindano ya Marathon ambapo washindi huvuna hela nyingi zaidi

Shindano la Nayoga ambalo ni spesheli kwa wanawake pekee linalo fanyika nchini Japani kila baada ya miaka miwili,ndilo shindano lenye hela ndefu zaidi kwa washindi.

Muhtasari

• Shindano la hivi punde ni la Hellen Obiri,ambaye alivunja rekodi ya mbio za New York City na kuvuna zaidi ya Sh 15 milioni.

• Mbio za Nayoga Women`s Marathon,ambazo uhusisha wanawake tu,ndio hutoa mavuno makubwa zaidi kwa washindi.

HELLEN OBIRI ASHINDA NEW YORK MARATHON
HELLEN OBIRI ASHINDA NEW YORK MARATHON
Image: WILLIAM WANYOIKE