Wasanii walionusurika ajali mbaya za barabarani 2023

Siku chache zilizopita, Chino Kidd alinusurika ajali ambayo ilimuuwa rafiki wake, kisa sawa na kile cha Aprili katika ajali iliyohusisha Mr Seed na DK Kwenye Beat na ambayo iliua rafiki yao Ambrose Khan.

Muhtasari

• Hata hivyo, wasanii hawa wote waliweza kunusurika na majeraha madogo kutokana na ajali hizo.

Wasanii walionusurika ajali
Wasanii walionusurika ajali
Image: WILLIAM WANYOIKE