Mafanikio ya Dvoice ndani ya muda mfupi tu baada ya kutambulishwa WCB Wasafi

Kinda huyo ambaye amekuja kuziba pengo la Rayvanny amejinyakulia zaidi ya wafuasi wapya 100k chini ya siku nne tu tangu alipotambulishwa mwishoni mwa juma lililopita.

Muhtasari

• Baada tu ya kutambulishwa, msanii huyo aliachia albamu yake ambayo imepata mapokezi ya kishujaa katika majukwaa mbali mbali ya kidijitali.

Mafanikio ya muda mfupi ya msanii mpya wa WCB Wasafi.
Mafanikio ya muda mfupi ya msanii mpya wa WCB Wasafi.
Image: WILLIAM WANYOIKE