Wakenya maarufu waliopewa tuzo za kitaifa za kiheshima na rais katika sherehe za Jamhuri

Licha ya rais kuwatunuku tuzo hizo watu zaidi ya mia mbili, orodha hii inaangazia Wakenya maarufu ambao hawako katika kitengo cha jeshi wala siasa.

Muhtasari

• Waigizaji Jackie Vike na Kate Actress ni miongoni mwa waliopewa OGW pamoja pia na wanariadha Hellen Obiri na Mary Moraa.

• Mwanariadha Faith Kipyegon alipewa tuzo ya ngazi ya juu zaidi, EGH, kutokana na kufana kwake katika riadha mwaka huu.

Wakenya maarufu wasio wanasiasa waliotuzwa tuzo za kitaifa
Wakenya maarufu wasio wanasiasa waliotuzwa tuzo za kitaifa
Image: ROSA MUMANYI,
Wakenya waliotuzwa tuzo za kitaifa.
Wakenya waliotuzwa tuzo za kitaifa.
Image: ROSA MUMANYI,