Harmonize ajiunga na chama cha mastaa wa Bongo wenye wafuasi zaidi ya 10M Instagram

Wabongo wapo mbele katika kuwapa shavu mastaa wao na hili linadhihirika wazi kwa jinsi wanavyowafuata kwenye mitandao ya kijamii.

Muhtasari

• Kati ya mastaa watano wa Bongo Fleva walio na zaidi ya wafuasi milioni 10, wanaume ni wawili tu huku wanawake wakiwa watatu.

Wafuasi milioni 10 na zaidi kwenye Instagram.
Wafuasi milioni 10 na zaidi kwenye Instagram.
Image: HILLARY BETT