Ripoti ya vifo kutokana na ajali za barabarani mwaka huu

Jumla ya watu 563 walifariki kutokana na ajali za barabarani kwanzia Januari 1 hadi Februari 11, 2024.

Muhtasari

•Takriban watu 563 walipoteza maisha yao katika visa tofauti vya ajali kuanzia mwanzoni mwa mwaka hadi Februari 11, 2024.

kutokana na ajali za barabarani mwaka huu.
Vifo kutokana na ajali za barabarani mwaka huu.
Image: HILLARY BETT