Kenya miongoni wa mataifa ya Afrika yasiyo na chochote cha kufurahia

Taifa la DRC linashikilia nafasi ya kwanza Afrika na 139 kati ya 143 duniani katika utafiti huo wa kubaini taifa lenye wananchi wanafurahikia kila kitu ikiwemo uongozi, uchumi, usalama, n.k

Muhtasari

• Mataifa mengine yasiyo na furaha ni pamoja na Tanzania, Uganda, Ethiopia, Nigeria miongoni mwa mengine.

zenye watu wengi wasio na furaha Arfika, 2024.
Nchi zenye watu wengi wasio na furaha Arfika, 2024.
Image: WILLIAM WANYOIKE