Maagizo ya mahakama ya uajiri na leba kwa wahudumu wa afya huku mgomo ukiendea

jaji Bryam Ongaya alitoa maagizo kwa wahudumu wa afya kuhakikisha kuwepo kwa angalau wahudumu wa afya 2 kwa kila hospitali, huku mazungumzo ya kusitisha mgomo yakitarajiwa kufanyika.

Muhtasari

• jaji Bryam Ongaya alitoa maagizo kwa wahudumu wa afya kuhakikisha kuwepo kwa angalau wahudumu wa afya 2 kwa kila hospitali, huku mazungumzo ya kusitisha mgomo yakitarajiwa kufanyika.

Maagizo ya mahakama kwa madaktari
Maagizo ya mahakama kwa madaktari
Image: HILLARY BETT