Orodha rasmi ya wanariadha watakaowakilisha Kenya kwenye Paris Olympics kitengo cha Marathon

Elud Kipchoge ataongoza kikosi cha Kenya kitengo cha wanaume katika marathon kwenye mashindano hayo huku Peres Jepchirchir na Hellen Obiri wakiongoza kikosi cha kina dada.

Muhtasari

• Eliud Kipchoge atakuwa analenga kuwa binadamu wa kwanza kushinda marathon ya Olympics kwa mara ya tatu mfululizo.

Paris Olympics
Paris Olympics
Image: HILLARY BETT