Tanzania yaipiku Kenya na kuongoza mataifa ya East Africa yenye uhuru wa vyombo vya habari

Kwa mujibu wa ripoti ya Reporters Without Borders, Tanzania ni ya 97 duniani kwa mataifa yenye uhuru wa vyombo vya habari huku Kenya ikiwa nambari 102.