Jinsi ya kuhakikisha unakaa salama wakati huu wa mvua za masika

Kando na kuweka tayari mwavuli na koti la mvua, hakikisha unaepuka kujikinga mvua chini ya miti wala kutembea kwenye mvua. Pia epuka vyakula vya kuchuuzwa mitaani au kwenye msongamano wa magari.