Wafahamu makocha wa EPL ambao wameondoka msimu wa 2023/24

Takriban makocha saba wameondoka katika vilabu tofauti kwa sababu mbalimbali.

Muhtasari

•Kocha wa Chelsea, Mauricio Pochettino ndiye meneja wa hivi punde zaidi kuondoka katika klabu ya Ligi ya Kuu ya Uingereza. 

wa EPL ambao wameondoka msimu wa 2023/24.
Makocha wa EPL ambao wameondoka msimu wa 2023/24.
Image: WILLIAM WANYOIKE