Timu ambazo zimeshinda ligi ya FKF mara nyingi zaidi

Gor Mahia waliweka rekodi kwa kushinda taji lao ya 21 katika ligi ya Kenya.

Muhtasari

•Msimu wa ligi ya FKF ulikamilika Jumapili Juni 23, 2024.

Timu ambazo zimeshinda ligi ya FKF mara nyingi