Fahamamu dalili za satatani ya Myeloma Nyingi ( Multiple Myeloma)

Ni aina ya saratani ya damu inayoathiri mfumo wa hematolojia na kudhoofisha mifupa.

Muhtasari

• Maumivu makali ya mifupa.

• Kuvunjika mifupa kwa urahisi

• Kuambukizwa maradhi kwa urahisi.