Hatua alizochukua rais Ruto kutokana na joto la maandamano ya vijana wa Gen Z

Kando na kutupilia mbali mswada tata wa fedha wa 2024, rais Ruto pia amelazimika kuvunja baraza lake la mawaziri na kuondoa kabisa bajeti katika ofisi za mama wa taifa, mke wa naibu rais na mke wa waziri mweny mamlaka makuu.

Muhtasari

• Rais Ruto alitangaza kuondolewa kwa bajeti ya siri katika ofisi kuu serikalini na pia kutaka wafanyikazi wa serikali kustaafu na miaka 60.

Hatua za Ruto kutokana na msukumo wa maandamano ya Gen Z
Hatua za Ruto kutokana na msukumo wa maandamano ya Gen Z
Image: WILLIAM WANYOIKE