Usiguse murima, kababa, kugongewa': Kauli za ucheshi zinazowavutia Wakenya mtandaoni

Wakenya wamekuw wakitumia kauli hizo ambazo zina maana fiche kuwasilisha ujumbe wao kwa wenzao kwa njia za utani.

Muhtasari

• Wakenya wamekuwa wakitumia kauli hizo ambazo zina maana fiche kuwasilisha ujumbe wao kwa wenzao kwa njia za utani.

kauli za utani mitandaoni
kauli za utani mitandaoni
Image: WILLIAM WANYOIKE