Karibu niangamizwe na makachero wa DCI-Mwanaume Asimulia

Mwanamume mmoja kutoka kaunti aya Busia ameelezea namna alivyoponea kifo kutoka kwa maafisa wa DCI nchini waliomwinda hadi eneo analofanyia kazi na kisha kumpeleka katika shamba la miwa na kumtishia kumuangamiza.

Mwanamume huyo kwa jina Derick alisimulia tukio hilo katika mitandao yake ya kijamii kama ifuatavyo;

“EXACTLY 3 YEARS AGO, I WAS PICKED BY DCI OFFICERS FROM MY BUSINESS PREMISES IN BUSIA. I WAS BEING ACCUSED OF MURDER."

Alisimulia kuwa walimlazimisha kuwapeleka nyumbani kwake ambapo walitawanya kila kitu wakitafuta bunduki. Baada ya hayo alipelekwa katika kituo cha polisi cha Busia ambapo aliwapata marafiki zake wa dhati.

"We were then ferried to Awasi sugar plantations in a convoy of 7 DCI vehicles. Guns were cocked and pointed at us, we were asked to produce guns we used to kill people

Scariest day of my life after telling them we were unware, of what they were saying a laptop which was pulled from my shop and aphone which was taken from my partners in crime

Were fished out and the cops demanded we explain where we got the items from." Alieleza Mwanaume.

Mwanaume huyo alianza kucheka kicheko kisichokwisha. Alisema hajui ni kwa sababu gani alikuwa anaogopa ama alikuwa anajua kwenye tarakilishi hiyo ilikuwa imetoka.

Aliendelea na kunakili na kusema kuwa baada ya kucheka, alipigwa ngumi na askari mmoja mpaka akaanza kueleza vile alipata tarakilishi hiyo.

"SEE THIS LAPTOP WAS GIVEN TO ME BY MY IMMEDIATE NEIGHBOUR (A KENYA PRISONS OFFICER). HE WAS FINANCIALLY PRESSED AND IN NEED OF QUICK CASH, AND HE THOUGHT SINCE I OWNED A COMPUTER SHOP, WHY NOT HAVE IT ON DISPLAY THERE, ONCE IT’S SOLD, THE BUSINESS WILL GET A CUT…"

Baada ya kusema hayo walimpelekwa katika kituo cha polisi cha Ukwala ambapo walitupwa kwenye jela, baada ya muda mchache aliitwa aende apatiane habari kuhusu afisa huyo wa polisi.

I was later picked to give the details of the prison officer. Unfortunately, I wasn’t aware that that same week, he had been transferred to Naivasha GK,

They mobilised DCI officers Naivasha branch, who then raided the house of that cop, and behold, they found a pistol dismantled and hidden in a diaper wrapping,

A sense of relief but we had to go to court the next day they asked for 10, days to further investigation." Alieleza.

Wakati uo huo polisi huyo alipelekwa katika kituo cha polisi cha Siaya na kisha wakalala katika jela kwa siku ya pili, watatu hao walianza gumzo ili wakati usonge.

"These co-accused started describing the person who sold them the phone (they run a phone store), and yes, it’s the same bloody prison officer.

Next day we were ferried to Siaya to identify the person from a parade…one by one of course."

Si hayo tu alizidi na kunakili,

"I POINTED OUT THE GUY, AND THESE TWO ALSO POINTED OUT THE SAME GUY. THINGS WERE STARTING TO EASEN UP NOW…THERE WAS ONE ISSUE NOW, POSSESSION OF STOLEN PROPERTY CHARGES."

Waliamurishwa kwenda mahakamani ili kupeana ushahidi wao. Walipokuwa katika mahakama walishangaa baada ya kujua askari huyo alikuwa ameshtakiwa na kesi sita za mauaji.

"There is another witness, who this guy shot and left for dead, but she survived. The lady owned an MPesa in Teso.

I remember when we were being taken back to the cells, Kakamega based DCIs were outside waiting to take him to Kakamega to answer for some other robbery with violence charges.

Long story short, we were released 10 days later." Alizungumza.

Tangu hiyo siku, mwanaume huyo alijuta na kukataa kuuziwa bidhaa na rafiki zake.

"THE LAPTOP AND PHONE WERE STOLEN AND THE OWNER KILLED. SISI NA UJINGA WETU WE NEVER THOUGHT OF THAT. ANYWAY, YOU LIVE YOU LEARN.”