Katoto hodari! Tazama picha za mama ya mtoto wake Mbosso

Mwanamziki wa WCB Mbosso Khan ana binti mwingine ambaye ni mama ya mtoto wake wa kiume aliyezaliwa miezi miwili iliyopita.

Mwanamziki huyu alifanya karamu ya kukata na shoka kusherehekea siku ya 40 ya kuzaliwa kwa mtoto wake.

Sherehe hii iitwayo 'Aqiqah' hufanywa na waislamu baada ya mtoto kuzaliwa  na kupelekwa kwenye nyumba ya wazazi wake.

Karamu  hii ilihudhuriwa na watu waliojulikana sana Tanzania kama Hamisa Mobetto, Esma Khan (dadake Diamond),Fahima (mama ya mtoto wake Rayvanny) na wengi zaidi.

Sherehe hii ilikuwa siku chache baada ya Mbosso kuomboleza kifo cha mama ya mtoto wake mwengine ambaye alikuwa mcheshi.

 Tazama picha za kidosho Rukia, mpenzi wake Mbosso