Mchezaji wa zamani wa Harambee Stars Musa Otieno apatikana na Corona

Ebvc3V-XkAAl_NS.jfif
Ebvc3V-XkAAl_NS.jfif
Nahodha wa zamani wa timu ya taifa Harambee Stars Musa Otieno amepatikana na virusi hatari vya corona.

Taarifa hizi zimedhibitishwa na rais wa shirikisho la soka nchini FKF Nick Mwendwa.

Kwa sasa Otieno amelazwa katika hospitali moja ya huu nchini na anaendelea kupokea tiba.Tunamtakia afueni ya haraka.