16649565_647102085477744_6951482243422551022_n

PATANISHO: ‘Mume wangu ni fisi mdogo lakini nimemsamehe’

Je, ni vyema kumfilisha mke au bwana wako ili aweze kurekebisha tabia zake?

Katika kipindi cha Patanisho asubuhi huu, Bwana Joseph Pretty ilibidi ajirekebisha na awache ukora kabisa. Ilibainika kuwa Joseph alikuwa anampima bibi yake kuona kama kuna maneno ya mpango wa kando. Alikuwa anatumia mbinu ya mpiango ya kando, kumtuliza mke wake.

Joseph Pretty alimkosea mkewe na anahisi anaweza kuotoroka nyumbani kwao. Anahofia mke wake Nancy amekasirika sana na anapanga nguo zake, ahamishe vitu zao.

Gidi: ‘Eti mlikosana sana na angependa kukuomba msamaha. Nini ilitendeka?’

Bi Nancy alimwelezea Gidi: ‘Amebadilika sana na nahisi ni kama nana mpango wa kando.anakuja late,hakunywi chai na chakula changu, akienda kwa bafuanaenda na simu, nikilala azima simu akisema haina moto usiku anatoa battery ya simu usiku tukilala akisema hataki battery iishe charge.

Gidi; ‘Umefanya utafiti wako ukapata ako na mpango wa kando?’

Nancy; ‘Nikiingia kwa nyumba ako na simu kwa pocket, akienda kuoga anaenda nayo, haja gani shetani aiingie kati yetu? Kuuanzia leo aache kuficha ficha hio simu yake, akiwa atachelewaapige simu anielezee ako wapi.’

Skiza kanda ifuatayo upate uhondo;

 

 

Photo Credits: file

Read More:

Comments

comments