Uhondo wote viwanjani na Yusuf Juma

Kakake Serge Aurier  auawa Ufaransa,

Klabu ya Manchester city  yapata afueni baada ya kuruhusiwa kurejea mashindano ya ubingwa wa ulaya

Na

Kocha  wa Yanga  Luc Eymael   asema ndiye anayefaa kulaumiwa kwa kushindwa na samba,Mengi zaidi viwanjani na Yusuf Juma