Video ya siku: Kocha wa Uturuki awazaba kofi wachezaji wake

kocha
kocha
Katika pita pita zangu kwenye mitandao ya kijamii, niligongana na video moja iliyoonesha kocha aliyejawa na hasira akiwazaba wachezaji wake makofi baada ya kuandikisha matokeo duni.

Video hii ambayo inaaminika kutoka Uturuki, inaonesha wachezaji ambao wamekomaa wakizomewa na kocha wao kabla ya kuzunguka katika chumba cha wachezaji akizaba kila mmoja.

Je wadhani hii ndio njia mwafaka ya kuwarekebisha wachezaji wasiojituma na wanaonesha uvivu katika mchezo wao, haswa manchester United na Southampton?

Tazama kanda hiyo: