diamond platnumz

Anaandika Kama Kuku Au Mfalme? Tizama Mwandiko Wa Msanii Diamond Platnumz

Msanii mashuhuri wa Bongo, Diamond Platnumz yumo nchini kwa sherehe za uzinduzi wa kanda yake mpya  ‘A boy from Tandale’.

Huku akifanya ziara ya vyumba vya habari, Diamond aliulizwa aorodheshe nyimbo tano ambazo anazi enzi sana na hapo akaomba kalamu na kjikaratasi ili aziandike.

Picha iliyo hapo chini yaonyesha mwandiko wake ambao wawezi wapendeza wengi huku wengine waweza kuwa na hisia tofauti.

Baadhi ya nyimbo alizo orodhesha ni;

Shulala – Harmonize.

Makulusa – Rayvanny.

Utatulia – Lavalava.

Watakubali – mbosso na wimbo wake wa Hallelujah.

rsz_1rsz_diamond

Photo Credits: courtesy

Read More:

Comments

comments