Best gift ever,'Ujumbe wa Tanasha kwa mwanawe baada ya kutembea

Screenshot-from-2020-03-04-08_47_57
Screenshot-from-2020-03-04-08_47_57
Tanasha Donna ni mama mwenye furaha  baada ya mwanawe kupiga hatua nyingine ya maisha yake yaani amejua kutembea. Ni hatua ambayo wazazi wengi hungoja kwa hamu.

Kupitia kwenye mitandao ya kijamii, Tanasha aliposti video ya mwanawe akitembea na kusema kuwa ni zawadi yake bora.

"MY BABY IS 9 MONTHS & WALKING… MASHALLAH 🥰❤️😢 HE’S TOO SHARP… KNOWS SO MUCH… AS IN, HE STARTED WALKING YESTERDAY, ON MY BDAY… @NASEEB.JUNIOR I LOVE YOU MI AMOR…. BEST GIFT EVER 🥰❤️”

https://www.instagram.com/p/CCYrR9apfCa/

Tanasha na mama yake Diamond huwa wanasherehekea siku moja ya kuzaliwa, kupitia kwenye mitando ya kijamii Mama dangote aliposti video ya mjukuu wake na kuandika ujumbe huu mfupi,

"KWELI LEO NIME ONYESHWA SURPRISE NA BWANA NASEEB TOM KAKA KASIKIA LEO MKEWE KAZALIWA NA YY KATEMBEA KWELI BWANA NASEEB ANANIPENDA ANATAKA AJE AFURAHI NA MM MKEWE."