Soma mambo madogo ambayo hufanya uhusiano wako kudumu

Muhtasari
  • Mambo madogo lakini ni ya muhimu katika uhusiano
  • Kuweni na mpangilio wa kila jambo na kufahamisha mwenzio mipango yako
Wapenzi
Image: Maktaba

Ni matamanio ya watu walio kwenye uhusiano wa kimapenzi, uhusiano wao hudumu maishani na wala wasipate wasiwasi au shida yeyote.

Uhusiano wa kimapenzi ni kama mmea lazima unyunyusie maji kila mara ili uweze kunawiri.

Kuna baadhi ya mambo ambayo wengi huyaona madogo sana katika uhusiano lakini kwa kweli yanaweza kufanya uhusiano kudumu na kutamanika na wengi.

 

Haya hapa baadhi ya mambo hayo;

1.Husifanye lolote bila kumfahamisha mwenzio

Wanawake wengi katika uhusiano hufanya uamuzi wa jambo bila kumfahamisha mwenzio kwa maana ana haraka ama wataka kuweka jambo hilo kama siri mwishowe kufanya uhusiano wenu kugonga mwamba.

Kama wataka uhusiano wako kudumu kama wewe ni mwanamume au mwanamke endapo kuna jambo ambalo wataka kufanya basi mfahamishe mwenzio.

2.Wacha ya kale yawe ya kale

Ndio mkipatana lazima  kila mmoja wenu awe na ya kale, lakini endapo mtazungumzia hayo kila mara basi uhusiano wenu utadhoofika na kuanza kutoaminiana lakini wacha ya kale yawe ya kale kwa maana kila mtu alikuwa 

3.Tazama sinema na mwenzio

 

Kama umeamua kutazama sinema fulan haya basi muite mwenzako ili aje mfurahie pamoja na uhusiano wenu utadumu kwa maana wakati wako mwingi umetumia na mpenzi wako.

4. Pangeni wakati wa kufanya ngono

Di kila mara ukifikiria kupata haki yako kama mwanamume unarudi kwa nyumba au unamwuita mpenzi wako aje kukutembelea ili upate haki yako lakini mkiwa na mpangilio wa kufanya mambo hayo basi kila mmoja atakuwa ametosheka na kujua siku fulani naenda kufanya haya.