'Mali ya simba,' Zuchu aambiwa baada ya kuposti picha hizi kwenye instagram

Muhtasari
  • Mashabiki wadai kwamba Zuchu ni mali ya msanii Diamond baada ya kupakia pcha kwenye mitandao ya kijamii
  • Awali wawili hao walidaiwa kuwa katika uhusiano wa kimapenzi
Zx8k9kpTURBXy85MTIwMjZjODUzZGJhOGRlODA3NjhiNTVmNzFkNzBjNS5qcGeSlQLNAxQAwsOVAgDNAvjCw4GhMAE
Zx8k9kpTURBXy85MTIwMjZjODUzZGJhOGRlODA3NjhiNTVmNzFkNzBjNS5qcGeSlQLNAxQAwsOVAgDNAvjCw4GhMAE

Msanii Zuchu kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram alipakia picha ambazo zilizua hisia tofauti huku baadhi ya mashabiki wakisema kwamba Zuchu ni mali ya staa wa bongo Diamond Platnumz.

Awali wawili hao walidaiwa kuwa katika uhusiano wa kimapenzi ambapo Zuchu akiwa katika mahojiano alikana madai hayo na kusisitiza kwamba Diamond ni bosi wake tu hamna la kuongeza au kupunguza.

Baada ya Zuchu kusajiliwa katika lebo ya WCB Diamond alihakikisha amemuunga mkono kwa vyovyote vile ili kueneza kazi yake ya usanii.

 

Hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki baada ya kutazama picha zake Zuchu;

Cheti_cha_Meja: Mali ya simba.....kwani uko na simba?

wcb_updater: @platnum_news Kuanzia leo zuchu ndo shemeji yenu sitaki dem mwengine ❤️❤️❤️❤️❤️

swahili_memez: Dah! Natamani niseme kuwa tulikuwaga wapenzi, ila Watu Watasema Bangi😎